Entertainment
Video: Mnaikumbuka Movie ya Tarzan? Hebu kumbuka jambo kwa kuitazama hapa
Photos:East meets West Party, Ommy Dimpoz Birthday vilifanyika kwa pamoja Element

Tazama Picha namna ambavyo jipati la kukutanisha wana Afrika mashariki na Afrika magharibi lililoandaliwa na SK Intertainment wakishirikiana na Uniti Intertainment lilivyokuwa pale ksatika kiota cha Burudani Element Masaki Jijini Dar Es Salaam juzi Ijumaa Usiku , J Martin msanii kutoka Nigeria ambaye ameshiriki katika wimbo wa Ommy Dimpoz TUPOGO… Read More →
Msanii H.Baba na Flora Mvungi wapata Mtoto wa Kike Tanzanite

Ndoa ya msanii wa muziki wa kizazi kipya miondoko ya Takeu H.Baba na Mkewe Flora Mvungi Ambaye yeye ni mCheza Movie imezaa matunda baada ya wawili hap kujaaliwa mtoto wa kike aliyezaliwa katika hospitali ya Maria Stops iliyopo marneo ya mwenge na kumpa jina la Tanzanite Tazama picha ya… Read More →
Jokate Mwengelo Akanusha kuliwa Tunda lake na Produce Lucci

Mrembo Jokate akasirishwa na watu waliomuundia Group la BBM ku discuss mahusiano yake na Produce Lucci ambaye wamefanya naye kazi iliyotoka hivi karibuni ‘KAKA DADA’ na kuamua kujibu mashambulizi kupitia Account uake ya Instagram jokatem“Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa… Read More →
Picha: Jinsi Bebe Cool Alivyopanda kwenye Steji na PikiPiki katika tamasha lake la Kokodiosis

Baada ya Hasimu wake Mkubwa Jose Chameleone kufanya Tamasha kubwa lililokwenda kwa jina la Badilisha Concert Msanii Bebe Cool nae amemrudi hasimu wake baada na yeye kufanya tamasha kubwa lililojulikana kama Kokodiosis Tamasha hilo ambalo lilijaza kama vile lilivojaza la hasimu wake mkubwa Jose, Bebe Cool Yeye alionyesha mbwembwe zake… Read More →
Video: Pasha – Umeniweza
Ndoa ya Msanii Linex na Mzungu wake yaota mbawa

Kilichokua kinafata ni ndoa ambayo ilikua imepangwa na wote wawili baada ya Linex kukamilisha hatua muhimu ambayo ni kumvisha pete mchumba wake anaitwa Suvi raia wa Finland mwezi March 2013. Millardayo amepata nafasi ya kuzungumza na Linex kwenye exclusive interview ambayo amekiri ni kweli imebidi kila mmoja aendelee na maisha… Read More →
Baada ya kumkana mwanaume aliyejitangaza kuwa ni baba yake mzazi kupitia Tweeter Mshindi wa Big Brother the Chase, Mama yake mzazi Dilish Athibitisha kuwa ndio baba Halisi
Hatimaye teknolojia imefanikisha kuwakutanisha wazazi wa mshindi wa Big Brother Afrika ‘The Chase’ Dillish Mathews baada ya mwanaume mmoja aitwaye Abdi Galgayo Guyo kuja hadharani na kudai kuwa ni baba mzazi wa mshindi huyo wa The Chase. Siku moja tu iliyopita, Pulse iliandika habari kuhusu mwanaume wa Kenya aitwaye Abdi… Read More →
Msanii Banza Stone Aomba watanzania wamuombee kwani hali yake si nzuri

NGULI wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ ameanza kuugua tena ambapo tangu Sikukuu ya Iddi hadi sasa yupo hoi kitandani. Banza alisema Ameanza kusumbuliwa na malaria kali mara baada ya show siku ya sikukuu ya Eid na pamoja na matibabu aliyoyapata hajapata nafuu yeyote mpaka sasa hivyo… Read More →