Maznat Bridal Presents:10 Years Anniversary (If you Can Dream it, You Can do it)
Ile shughuli nyingine ya akina mama ilioandaliwa na Maznat Bridal Akiadhimisha miaka kumi ya Huduma zake kwa maharusi wa kike “Maznat 10 Years Anniversary ” ndio hiyo imeahafika… Kama poster inavyojieleza Eneo la tukio siku na na dress code. Sehemu nyingine ya akina dada na mitoko yetu kukutana……. Read More →