Haya kwa wale wenye Ndoto ya kua wanamitindo: PACA modeling Agency wamekuja kwa ajili yenu
Kwa wale vijana wenye ndoto ya kuwa wana mitindo wakubwa PACA imewarahisishia kazi.PAKA ni kampuni mpya ya uwanamitindo ambayo imetambua umuhinu wa ndoto za vijana wengi kuwa wanamitindo. PACA inafanya vitu vitatu,Training kwa Models wanaochipukia kwa ada ya Laki Moja kwa Training! Pili Usajili wa Models wenye experience (uzoefu) kwa… Read More →