Mama 8020, Shamim, mama mwenye shughuli yake akiwa zuliani. Dina Marious Khadija Kopa, Noely na Sabah Salum May Charles igogo Wema akiwa na Rafiki Jamila aka Myler Mishie Bomba Mc wetu, Kazi nzuri mama Kaa tayari kwa Red Carpet.
Hapa ni Samaki samaki ya mjini sehemu ambayo inanivutia kutokana na ubunifu wake wa hali ya juu ukiwa una nakshi za kiasili, sanaa ya uchoraji lakini pia kumbukumbu ya picha za watu ambao walifanya kitu katika dunia hii zaidi ya kuburudika na kinywaji lakini unapata kumbukumbu nzuri na mandhari tofauti… Read More →
Kwa mahitaji yako ya Nguo za kisasa Viatu, mapambo, vipodozi Na Nguo za harusi kwa wanawake na wanaume tembelea Moreen Fashion iliopo SINZA KIJIWENI, duka linatazamana na Habari Co-operation Pia wanatoa ushauri wa namna ya kufanya harusi nguo gani uvae na kukufanyia order ya nguo zote na za wasimamizi. KARIBUNI… Read More →