Elle UK Magazine Toleo la Februari 2016 Kylie Jenner Anahusika
Gazeti la Elle UK limetoa vidokezo vya gazeti lao la toleo la mwezi Februari litakuwa limepambwa na Kylie Jenner….She looks natural check picha…
Kim Kardashian sasa rasmi amerudi, akitoka kujifungua mtoto wa kiume anayeitwa Saint kwa mara ya kwanza ameshare picha akiwa na familia yake isipokuwa Saint tu, Kanye West na Kim Kardashian wameahidiwa mkwanja mrefu endapo watatoa picha ya kwanza wakimuonyesha mtoto wao wa aliyezaliwa Saint na vyombo hivyo vya habari vimeitaka… Read More →
Muigizaji na mtangazaji Stella Damasus amemtetea Steve Harvey kufuatia kosa alilolifanya kwenye shindano la urembo la Miss genericcialis-cheaprxstore.com Universe usiku wa juzi, Mchekeshaji huyo na Mtangazaji wa TV alimtangaza Miss Colombia kama mshindi wa Miss Universe na baadae akagundua kosa lake na kumtangaza Miss Phillipines ndiye mshindi halali. Akiwaelekeza waongozaji… Read More →
Host wa Universe 2015 Steve Harvey kila jicho na lawama ziko kwake baada ya kumtangaza Miss Universe 2015 kimakosa lakini hakuwa huyo amabye alimtangaza yeye kama ndiye mshindi. Alitangaza kwamba Mis Colombia Ariadna Gutierrez alikuwa mshindi, watu wakakumbatiana kupongezana, kushangilia, maua huku na huko, akapause mbele ya camera kama yeye… Read More →
It is holiday season watu wengi duniani kote wengi wao wako katika mapumziko ya mwisho wa mwaka, hilo liko wazi wewe mwenyewe hapo utakuwa unatamani sana unakaribia uende mapumzikoni, au upo mapumzikoni au \boss amebana hakuna likizo pole sana. Lakini kwa mpenzi wa zamani wa Chris Brown baby girl Karrueche… Read More →
Mwanamitindo ambae aamekuwa maarufu sana kwa kuondoa mbavu ili afanane na Jessica Rabbit anahitaji nguo ambayo inabana kwenye mbavu na kiuno (corset) ili aendelee kuishi. Baasda ya kutumia zaidi ya dola 150,000 kwa ajili ya upasuaji, madaktari wanamuonya mwanamke huyo kwamba atahitaji kuvaa corset muda wote ili kufanya viungo vya… Read More →
Ilikuwa ni 2015 Buzz Awards,usiku huo ulikuwa na fasheni kutoka kwa vijana ambazo zilishangaza watu ikiwa ni ubunifu mkubwa ili kuleta ushindani, nah ii inathibitisha kwanini Buzz Leavers Rock tuzo bora kwa vijana. Mamia walihudhuria pale Garden City Rooftop,kulikuwa na fasheni zilizodizainiwa kama watu waliokufa,saree za shule,condoms na nyingine. Check… Read More →
Mke wa zamani wa Lil Wayne na mademu zake wengine wa pembeni, sio wao tu wanao msanifu Christina Milian, moja ya mama watoto wa Lil Wayne, Sarah Vivan alimwambia Charlamagne Tha God anahisi kama Millian anaota ndoto ya mchana, anashanga kuhusu kwanini Christina anashangazwa kwa sababu hakujua kwamba india viagra… Read More →