Kitu Flani Amaizing! Ona Keki Zilizotengenezwa Kwa Mfano Wa Bwana Na Bibi Harusi

Ingekuwa wewe ungeila? Mtengenezaji wa keki aliamua kuonyesha uwezo wake wa kutengeneza keki siku ya harusi yake kwa kutengeneza keki yenye mfano wake yeye na Bwana harusi. Lara mwenye miaka 29, alitengeneza na keki ya Bwana harusi ambaye yeye ana umri wa miaka 27, wakiwa wamevaa nguo za harusi aliiambia… Read More →