Ghana yang’aa mashidnano ya Miss world 2013 Mshindi ni mrembo kutoka Philippines
Afrika imeng’aa katika mashindano ya Miss World 2013 baada ya mrembo kutoka Ghana kutwaa taji katika nafasi ya Tatu huku mshindi akitokea katika nchi ya Philippines
Mshiriki wa Tanzania katika mashindano ya Miss World yanayotarajia kufanyika kesho jumamosi katika kisiwa cha Bali Indonesia ameshinda nafasi ya tatu katika moja ya mataji manne kati ya lile kubwa la Miss World Beauty with katika nafasi ya tatu baada ya kuwakilisha mradi wake wa kutembelea na kusaidi wanajamii watanzania… Read More →
Ikiwa imebaki siku moja tu mashindano ya urembo ya Dunia kufanyika katika kisiwa cha Bali yalipohamishwa kutoka mji mkuu Jakatra nchini Indonesia, Hali imeonekana kuwa tete baada ya wanachi wa nchi hiyo ambao wengi wao ni waislam kuyapinga mashindani hayo kwa maandamano huku makundi mbali mbali ya kiislam yakitishia kushambulia… Read More →
Khadija Mwanamboka Mbunifu wa mavazi na Balozi wa Oxfam Tanzania Aja na Mradi wake mpya aliouzindua hivi kariubuni utakaofahamika kama VVK-GROW-CAMPAIGN PROJECT Dhumuni la Campaign hii ni kuwainua wanawake wafanyabiashara wadogo wadogo wa chakula lakini pia kufuatilia shughuli zao na kuona ni jinsi gani wanaweza kufaidika na kilimo cha chakula… Read More →
Baada ya usaili wa kumtafuta mrembo wa kurithi taji la Miss Universe Tanzania kumalizika, kambi ya warembo kwa ajili ya kinyang’anyiro cha kumtafuta mrithi wa taji la Miss Universe Tanzania 2013 imeanza rasmi. Kambi hii ambayo imejumuisha warembo 15 kutoka mikoa nane ya Tanzania itakaa kwa muda wa wiki moja… Read More →
Ni katika Movie inayotarajia kutolewa hivi karibuni, Salha Israel aliyewahi kuwa mrembo wa Tanzania sasa ajikita kwenye Movie Ambapo Msanii wa Bongo Movie Ray Kigosi kupitia kampuni yake ya RJ Company yupo jikoni kutengeneza movie yake mpya ambapo amemshirikisha mrembo huyo huku Jacklin Wolper akionekana Star wa Movie hiyo Kama… Read More →
Happiness Watimanywa, msichana pekee kutoka Tanzania aliyeweka historia ya kuongoza nchi zaidi ya 150 za mtandao wa IGCSE katika somo la Uhasibu kwenye mitihani ya kidato cha nne mwaka 2010. Happy (19) ni mzaliwa wa familia ya kawaida sana ya Mr Louis Roussos ya Morogoro. Wadogo zake Angel na Romeo… Read More →
Mwanamitindo Mtanzania Flavianna Matata anayefanya vizuri kwenye tasnia ya mitindo huko marekani maraa hii ametoka katika Cover ya jarida maarufu nchini la nchini Ufaransa linaloitwa French Magazine kutokana na maelezo ya Flavianna wakati amepost picha hiyo yanaoinyesha hata yeye mwenyewe kuwa surprise kutokana na kutokuwa aware kuwa shooting aliofanya ilikuwa… Read More →
Mnaijeria Obabiyi Aishah Ajibola Ametwaa Taji la mrembo wa dunia wa kiislam, mashindano yaliofanyika jana sep 18 Mjini Jakarta Indonesia ambapo majaji sio tu kwamba walikua wanaangalia uzuri wa wasichana hao na maumbo bali uelwewa wa dini ya kiislama na namna warembo hao walivyoweza kukariri aya katika kitabu Kitukufu cha… Read More →