Picha: Jinsi Miss Tanzania Brigitte anavyojichanganya na wenzie katika kambi ya mashindani ya miss World

Kama tunavyofahamu Muwakilishi wa Tanzania Miss Brigitte Alfred Yupo nchini Indonesia katika kambi ya Miss World kwa ajili ya maandalizi ya mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika september 28 mwaka huu. Brigitte amekua akitupia picha za matukio mbalimbali wakiwa katika kambi hiyo ya Miss World 2013 Kupitia mtandao wake wa Instagram… Read More →