Nigeria Yafanikiwa Kuangamiza Ebola
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa hakuna ugonjwa wa Ebola nchini Nigeria, ikiwa ni baada ya kupita siku 42 bila kushuhudiwa kesi mpya ya maambukizo ya ugonjwa huo. Rui Gama Vaz mwakilishi wa WHO amesema leo akiwa katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja kwamba, hivi sasa hakuna ugonjwa wa… Read More →