Msichana Aliyelipia Milioni Thelathini Na Tatu kuongeza Titi La Tatu Ili Asitongozwe
Binti mmoja mwenye umri wa miaka 21 kutoka jimbo la Florida Marekani ametumia zaidi ya Tshillingi 33,000,000 ili kufanya upasuaji wa kuwekewa titi la tatu ili asipendwe na wanaume. Msichana huyo Jasmine Tridevil alisema hakutaka tena kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume yeyote na alichoka kutongozwa kila wakati ndio… Read More →