Pope Francis Kujiuzulu Kama Ilivyotokea Kwa Pope Benedict (XV1)
katika hali inayoonekana kushangaza wengi Pope Francis Ameshauri ya kuwa anaweza kujiuzulu upapa siku zijazo kama ilivyotokea kwa papa aliyepita, Pope Benedict XVI alivyofanya mwaka uliopita, na kwa uamuzi huu itamfanya kuhesabika kuwa papa wa pili mwingine tena aliyewahi kuchukua maamuzi hayo baada ya zaidi ya miaka 600 iliyopita … Read More →