Snoopy Doggy Akubali Alivuta “Cha Arusha” Akiwa White House
Katika watu wanaovuta ukiweka top 20 ya best smokers in the world, Snoop Doggy hawezi kukosekana akifuatiwa na cousin yake Wiz Khalifa. Snoop Doogy kwa sasa anajiita Snoop Lion alifunguka khuhusu siku aliyovuta akiwa White House alifunguka hayo wakati Jimmy Kimmel. Aliulizwa umeshawahi kuvuta ndani ya White House. “Bafuni, sio… Read More →