Janet Jackson Avujna Ukimya Juu Ya Uvumi Kuhusu Kuwa Na Saratani

Janet Jackson mwenye umri wa miaka 46, amelaani ripoti ambayo inasema anaumwa saratani ya koo, hii inakuja baada ya kufuta tour yake ili akafanyiwe upasuaji…alitoa maelezo akieleza kwamba anaendelea vizuri na anapona…