Janet Jackson mwenye umri wa miaka 46, amelaani ripoti ambayo inasema anaumwa saratani ya koo, hii inakuja baada ya kufuta tour yake ili akafanyiwe upasuaji…alitoa maelezo akieleza kwamba anaendelea vizuri na anapona, mipango ya tour inaendelea vile vile kwa tour ya Ulaya kwa shows zilihairishwa zitapangiwa tarehe nyingine, Check hapo chini alivyoandika…
Janet Jackson Awajibu Waliovumisha Anaugua Saratani
07 January 2016 by Salma Msangi+ in
Entertainment News International Entertainment music Xpress News
- No Comments
Related Posts
-
-
Ciara Atemana Na Mpenzi Wake Mpya Russell Wilson
-
Faraja Nyalandu Aja Na Tovuti Kwa Ajili Ya Wanafunzi
-
Editor Wa Jarida La Vogue USA Anna Wintour Yambidi Kutoa Maelezo Baada ya Wasomaji Wengi Wa Jarida Hilo Kutokubaliana Na Cover Issue Ya Kanye Na Kim
-
Mashabiki Wamshambulia Davido Wakimuita Muongo
-
Jiji la Dar Es Salaam ndani ya Hamburg Ujerumani, Ni heshima kwa Tanzania
-
Watoto Wa Mandela Waanza Kugombea Mali Za Baba Yao