Tazama Video ya Mtu Huyu Aliyenusurika Kifo Baada Ya Kupotelea Baharini Kwa Zaidi ya Mwaka Mmoja, Mkojo Wake Wamuokoa.
Mwanaume mmoja wa ki Mexico Jose Salvador Alvarenga amenusurika kifo baada ya kupotelea katika bahari ya Pacific kwa zaidi ya mwaka mmoja Jose Salvador Alvarenga aliokotwa pembeni ya bahari baada ya mawimbi ya bahari kumsukuma ufukweni ikiwa ni miezi kumi na tatu tangu aingine baharini karika kazi yake ya kutafuta samaki… Read More →