Mchungaji Huyu Nae Afariki Baada Ya Kuzama Majini Akijaribu Kutembea Juu Ya Maji Kama Yesu
![](http://salmamsangi.com/wp-content/uploads/2014/01/weewweew-300x200.jpg)
Mambo bado yanaendelea kuwa magumu kwa manabii wengi walioibuka siku za hivi karibuni wakidai ni wajumbe waliotumwa na mungu kuuelekeza umma katika mambo ya ibada lakini zaidi kutibu na kufanya baadhi ya miujiza ambayo Yesu Aaliwahi yafanya Mchungaji huyu kutoka Huko Afrika magharibi amekumbwa na mauti baada ya kuzama majini… Read More →