Tazama Jinsi Dunia Ilivyoukaribisha Mwaka Mpya 2014 Kwa Shamra Shamra Za Aina Yake
![](http://salmamsangi.com/wp-content/uploads/2013/12/article-2531642-1A5B8DD800000578-280_964x662-620x425.jpg)
Tanzania Ikiwa ni mojawapo ya Nchi zote Duniani zilizosherehekea kuukaribisha Mwaka 2014 jana huku baadhi ya nchi zikiwa zimetutangulia kwa kiasi, Hivi Ndivyo shamra shamra zilivyofanyika kuukaribisha mwaka 2014 katika nchi mbali mbali duniani japo kwa Tanzania marufuku ya Mafataki na mafash fash ilipigwa na jeshi la polisi kuepuka watu… Read More →