Watu 15 wameuwawa na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa katika mlipuko wa bomu linalosadikiwa kuwa la kujitoa mhanga nchini Urusi..,
mlipoku huo umetokea ikiwa ni siku moja tu kupita tangu watu 17 kufa katika tukio lingine la kujitoa mhanga katika kituo cha treni kwenye mji huo.
Ulinzi mkali umeimarishwa kwenye vituo vya treni na viwanja vya ndege