Picha:Kim Kardashian Ashare Zawadi Za Mtoto Wake North West Aliyezaa na Kanye West
Wakati bado akiwa katika jiji kati ya majiji yanayosifika kwa starehe Duniani Paris Ufaransa Baby Mama Wa msanii wa muziki wa kufoka foka Kanye West Wa Marekani ameendelea kushare picha kadha katika mitandao mbali mbali ya kijamii zikiwemo zawadi za mwanae Ambae amekuwa kitendawili kuonekana Sura yake tangu aje Duniani… Read More →