“Priority Visa Services” Huduma Mpya itakayorahisisha Watanzania kupata Visa Ya uingereza kwa urahisi
Ubalozi wa Uingereza nchini leo umezindua rasmi huduma mpya ya viza za kipaumbele (priority visa service) kwa ajili ya watanzania wanaosafiri kwenda nchini uingereza. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Balozi wa Uingereza nchini bi.Dianna Melrose amesema huduma hiyo mpya ya viza itasaidia kuendeleza uhusiano mzuri ulipo… Read More →