Wanawake wakibongo waendelea kuisha kwa madawa ya kulenya/wawili wakamatwa Tena Nchini Afrika Kusini.
Ripoti kutoka Afrika Kusini zinasema wanawake wawiliwamekamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa OR Tambo nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Rand million 42.6 kiasi ambacho ni kikubwa zaidi kuwahi kukamatwa katika mpaka wowote wa nchi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyoripotiwa na shirika la habari la Africa… Read More →