Rais Hugo Chavez wa Venezuela Afariki Dunia baada ya kuugua Saratani kwa nuda Mrefu.
Rais Hugo Chavez enzi za uhai wake. Rais Hugo Chavez wa Venezuela amefariki dunia baada ya kuugua kwa miaka miwili ugonjwa wa saratani na hivyo kufikisha ukingoni uongozi wake wa miaka kumi na nne katika taifa hilo la Amerika ya kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta. Makamu wa Rais wa… Read More →