Baada Ya Kaka Wa Nick Minaj Kukamatwa,Dada Mtu Amtolea Dhamana
Wakati Nick Minaj akiwa anashinda tuzo,upande wa pili mdogo wake Nick Minaj anatokutana na vitu tofauti, kutokana na ripoti kutoka Associated Press mdogo wake Nick Minaj anayeitwa Jelani Maraj alikamatwa kwa kosa la ubakaji. Maraj alikamatwa kwa hilo akituhumiwa kumbaka binti wa miaka 13 mara 3 kati ya mwezi Aprili… Read More →
