Show Za Chris Brown Za Australia na New Zealand Zafutwa
Mkali wa ngoma ya “New Flame” Chris Brown hatofanya show kwenye nchi 2 mwezi huu,Mwezi Septemba haikuonekana kama Chris Brown angeweza kuruhusiwa kuingia Australia siku za hivi karibuni. Serikali ya Australia ilimpa msanii huyo kutoka Virginia, Chris Brown notice ya makusudi kuingia nchini humo, ambayo itamzuia au kuwa na uwezekano… Read More →
