Mtoto Wa Bobby Brown Bobbi Kristina Afariki Dunia
Tulimpenda lakini, Mungu amempenda zaidi, Baada ya kukaa hospitali toka Januari 31 mwaka huu, hatimaye Bobbi Kristina, amefariki dunia Jumapili Julai 26 akiwa na umri wa miaka 22. Mtoto huyo pekee wa kike wa marehemu Whitney Houston na Bobby Brown alikaa hospitali kwa miezi 6 huko Georgia baada kukutwa… Read More →
