Prezzo Achanwa Na Mke Wake Walioachana
Ni kawaida kwa Prezzo kuchanwa na wapenzi wake mara nyingi, wapenzi anaokuwa nao mwisho wake huwa mbaya. Mara nyingi tumeona kupitia TV na blogs kuhusu mahusiano ya Prezzo kwa wakati yakiwa yanachanua. Mfano Chagga Barbie mwanadada wa kichaga mzuuri kutoka Tanzania nae walichanana sana hadi mambo ya ndani, ikaja kwa… Read More →
