Ndege Ya Algeria Iliyopoteza Mawasiliano Iliangukia Mali
Taarifa za CNN Ndege hiyo ya shirika la Algeria, vyombo vya usalama vimethibitisha kwamba ndege hiyo iliyokuwa na wati 116 iliyokuwa ikitokea Burkina Faso ilianguka kaskazini mwa Mali. Shirika hilo limesema iliangukia katika eneo la Tilemsi karibu kilmita 70 kutoka kusini mwa Gao. Uwanja wa ndege wa Ouagadougou umetoa maelezo… Read More →
