Mafuriko:Mtu Huyu Alivyonusurika Kifo Kwa Kupanda Mtini Baada Ya Gari Yake Kusombwa Na Mafuriko Karatu

Mtu mmoja amenusurika kufa baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Land Cruiser hard top kusombwa na mafuriko katika eneo la kijiji cha Mererani wilayani Karatu barabara kuu ya Karatu Arusha. Manusura huyo dereva wa mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro aliyekua akiendesha gari yenye namba za usajili SU 36037 na… Read More →