Rais Kikwete Amjulia Hali Mwanahabari Salum Mkambala

Rais Wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Drk. Jakaya Mrisho Kikwete Jana Jumamosi Alimtembelea Mwanahabari wa kituo cha Channel Ten Magic Fm Salum Mkambala Taasisi ya Mifupa katika Hospitali ya Taifa muhimbili Alipolazwa akipatiwa matibabu baada ya Ajali ya Gari Aliyoipata Chalinze mkoani pwani hivi karibuni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia… Read More →