Walimu Nchini Zimbabwe Walazimishwa Kuchangia Birthday Ya Rais Wao Mugabe
Walimu nchini Zimbabwe wameripotiwa wakiwa wanalazimishwa kuchangia Birthday ya Rais wa nchi hiyo Sherehe hizo zinategemewa kufanyika mapema mwezi huu ambapo rais huyo anatimiza miaka 90 ya kuzaliwa …, Chama tawala cha ZANU -PF kimepanga kukusanya dola bilioni moja kwa ajili ya sherehe ya kuzaliwa Rais Mugabe.. Hata hivyo katibu… Read More →
