Madawa hayo yakiharibiwa.
JESHI la majini la Australia limekamata na kuharibu kilo 353 za madawa ya kulevya aina ya heroin yenye thamani inayokadiriwa kuwa zaidi ya dola milioni 700 katika pwani ya Tanzania Juma tano iliyopita
Askari wa meli ya HMAS Melbourne waliyagundua madawa hayo katika meli moja Jumatano iliyopita…
Da sasa mbona kama mambo yanazidi kuwa mamboo?
Sijawahi kuona hapa kwetu madawa haya yakikamatwa na jinsi yanavyoteketezwa hii ndio mara ya kwanza tena sio wtanzania sasa hawa Askari
baada ya ushahidi huwa yanakwendga wapi yale yaliokamatwa?
Chanzo: Global Publisher