Je Unafahamu Uingereza Ni Nchi Moja Wapo Iliyoathirika Kwa Ukeketaji Wa Wasichana Duniani?

Kote duniani zaidi ya wasichana milioni 30 wako katika hatari ya kukeketwa katika kipindi cha miaka kumi ijayo, kulingana na shirika la Unicef. Utamaduni huo unafanywa na jamii za watu katika Mashariki ya kati,Afrika na Asia na ni tatizo linalokithiri katika mataifa mengi ambako wanahamia. Moja ya nchi zilizoathirika ni… Read More →