Kweli Haramu Yako Halali Kwa Mwenzako, Eti Maiti Zinafukuliwa Kubadilishwa Nguo Huko Indonesia

Huku ndiko ukistaajabu ya Musa Yafirauni yatakuwa yanakuhusu tu unaambiwa Kila mwaka huko kaitika kisiwa cha Sulawesi, Tana Toraja, Indonesia, wafu (au maiti) hufukuliwa kutoka makaburini ili kubadilishwa nguo na kuwatembeza kijini hapo. Watu wa eneo hilo wa kabila la Toraja wana mila ya ajabu inayoiitwa Ma’nene ambayo wanaamini mtu… Read More →