Picha: Makamu Wa Rais Dkt. Bilal Alivyowaongoza Wananchi Kuuaga Mwili Wa Drt. sengondo Mvungi Leo

Makamu wa Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt. Bilal amewaongoza mamia ya Wananchi katika shughuli ya kuuaga mwili Drk. Sengondo Mvungi Aliyefariki Nchini Afrika ya kusini Juzi alipokua amelazwa kwa matibabu baada ya kujeruhiwa vibaya kichwani na majambazi waliomvamia nyumbani kwake Dkt. Sengondo Mvungi Anatarajia kuzikwa… Read More →