Kim Kardashian Apondwa Baada Ya Kuonyesha Umbo lake akiwa mtupu miezi minne baada ya kujifungua

Baby Mama wa Mwanamuziki Kanye West na Mama wa mtoto North West apondwa na mashabiki zake baada ya kupost picha kupitia mtandao waInstaGram akionyesha Umbo lake zuriii baada ya miezi minne tangu ajifungue Kim ambaye anamiliki Duka la mavazi pamoja na familia yake amekuwa mwanamitindo wa duka hilo katika… Read More →