Hii ndio sababu kuu ya bunge la Tanzania kugeuka uwanja wa vita

Bunge limeingia kwenye tafrani na mvutano mkali, baada ya Naibu Spika wa Bunge Bw. Job Ndugai, kuamuru kutolewa nje kwa kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Freeman Mbowe, na wabunge wa upinzani kuzuia kiongozi huyo kutolewa ukumbini. Hii ndiyo hali ilivyokuwa ndani ya ukumbi wa bunge huko mjini Dodoma, ambapo mbunge… Read More →