Video+Photos: Jinsi Ndege aina ya Boeing 777’s fuselage mali ya South Korea ilivyopata ajali wakati wa kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa San Francisco wakati wa kutua
Hivi ndivyo Ndege 214 boeing 777 mali ya Korea ilivyolipuka ikiwa inatua katika uwanja wa ndege kimataifa wa wa San Francisco Nchini Mrarekani Siku ya juma mosi ikiwa na abiria 300 na kuua Abiria vijana wawili huku 46 wengine wakiwa mahututi Hospitali. Serekali ya South Korea imesema Ndege hiyo iliyokuwana… Read More →