Jiji la Dar Es Salaam ndani ya Hamburg Ujerumani, Ni heshima kwa Tanzania

Jiji letu la Dar es Salaam limepata heshima ya kimataifa, katika nchi ya Ujerumani kwenye Jiji la Hamburg, Kuna sehemu imepewa jina la Dar Es Salaam Platz ( Dar es Salaam square ). Kutoka kulia : Brighton Monyo ( Zimamoto DSM ), Bw. Wilson M. Kabwe ( Mkurugenzi wa… Read More →