Sir Alex Ferguson adhibitisha kustaafu kama kocha wa Manchester United mwisho wa msimu.

Kocha maarufu na aliyewahi kupata mafanikio makubwa nchini Uingereza Sir Alex Ferguson atastaafu kama kocha wa klabu ya Manchester United mwishoni mwa msimu huu. Ferguson amefanikiwa kushinda mataji 13 ya Ligi kuu ya soka nchini Uingereza wakati wa uongozi wake wa misimu 26 katika klabu hiyo. Klabu ya Manchester United… Read More →