Watuhumiwa wa jengo lililodondoka Dar Wafikishwa Mahakamani

Mtuhumiwa namba moja wa mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha (aliyevaa kanzu nyeupe) na watuhumiwa wenzake 10, wamepandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Watuhukiwa wakiondoka mahakamani baada ya kusomewa Mashitaka. HATIMAYE mfanyabiashara Razah Hussein Ladha na wenzake 10 wamefikishwa katika Mahakama ya… Read More →