Mtuhumiwa Omar Yusuf Makame
Hakimu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Isaac Sepetu, ameagiza mtuhumiwa Omar Yusuf Makame wa mauaji ya Padre Evaristus Mushi afikishwe mahakamani mara moja siku ya Jumatatu wiki ijayo, ikiwa ni pamoja na nyaraka zinazoeleza ni kwa nini hakupandishwa kizimbani na kusomewa mashitaka ndani ya saa 24 kwa mujibu wa kifungu cha sheria cha 390 cha mwenendo wa makosa ya jinai, sura na. 7 ya mwaka 2004. Maombi ya kufikishwa mahaknani yametoka kwenye jopo la mawakili watetezi wa mtuhumiwa.
Hakimu Aagiza Mtuhumiwa wa mauaji ya Padre Evaristus Mush
Previous Story
Breaking News: Mwanajeshi aua Raia Kawe kanisani jijini Dar
Related Posts
-
-
Jengo la ghorofa saba lililodondoka India: kumbe ni Kawaida kwa nchi Hiyo.
-
Mkuu Wa Polisi Kanda Maalum Kwa Kushirikiana Na Wadau Mbalimbali Kupambana Na Uhalifu
-
Jamaa Wa Miaka 28 Aoa Mtoto Wa Miaka 10!
-
Ile Ajali Iliyoua Manyoni Na Kujeruhi Wengine 38
-
Rais Obama Asema Rais Kikwete ni Kama Kaka Na Rafiki
-
@DjTass Presents “Mapinduzi Eve Night” (M.E.N) @ Rhapsody Viva Tower Posta Dar Leo