Ajali iliyoua Trafik: shuhuda aeleza kisa kizima

Samahani kwa picha: Leo mchana kumejitokeza tukio la kugogwa na gari Trafik aliokua anaongoza msafara wa Raisi ambae yupo katika ziara katika mkoa wa Dar Es Salaam. Shuhuda huyu anaelezea: Ndugu zangu, huyu mama alitusimamisha sisi tupishe msafara, tukaipisha na yeye akakaa pembeni, ulikua msafara wa magari zaidi ya 50… Read More →