Mtoto wa Miaka Nane Aoa kikongwe
Huyu ndiyo mtoto wa miaka 8 kutoka Afrika Kusini ambaye ameoa mwanamke mwenye umri wa miaka 61 kwa kile ambacho kimeelezwa kuwa ni kutimiza maagizo ya wazee wake ambao wamekwishatangulia mbele za haki. Sanele Masilela na mkewe Helen ShabanguSanele akimpiga busu mkewe Helen Wanandoa katika picha ya… Read More →