Askari wa Afrika Kusini wamfanyia unyama Kijana wa kisumbiji
Taarifa kuwa dereva wa taxi nchini Afrika Kusini alikufa kufuatia tukio la kufungwa pindu kwenye gari la polisi na kuburutwa mitaani. Polisi nchini humo imeanzisha uchunguzi kubainisha ukweli wa tukio hilo ambalo limetokea katika mji wa Daveyton mashariki mwa jiji la Johannesburg Taarifa za awali kutoka katika vyombo vya habari… Read More →