Pentagon Shopping Center wakongwe wa Mavazi ya officine na mitoko kwa ajili ya akina baba na kina mama wenye hadhi zao.

Wanapatikana karibu kabisa na makutano ya Samora na Morogoro Road Posta. Bazee za ukweli, Hand Bag za ngozi kabisa toka uturuki Kina baba hamjaachwa nyuma, tai, boxers,vest, leso nk. Mikwaju Hatareee Kwa wale wasafiri basi tenaa hapo mmefikishwa Karibu Pentagon ukutane na Tabasamu bomba toka kwa Owner Mwenyewe Dada Maryam… Read More →