Ni kupitia Tanzania women of achivment awards. Tuzo ambazo zinaendelea sasaa hivi hapo Serena Hotel. Hongera Dina kwani ni ukweli unastahili kwa jitihada binafsi ulizo nazo katika kuinua wanawake wenzako. Dina Marious ni Mtangazaji wa kampuni ya Clouds Media kupitia Radio Clouds Fm katika kipindi cha Leo tena.