Wasichana Wawili Wabakwa Na Wanaume Watano Na Kunyongwa Mtini India
Wasichana wawili ambao ni ndugu mmoja akiwa na umri wa miaka 14 na mwingine miaka 15 wamekutwa wamekufa kwa kuning’inizwa mtini Polisi wamesema Wasichana hao wadogo wanaotokea katika jamii ya kawaida vijijini walipotea ghafla mara baada ya kutoka kwenda maliwatoni huko kijijini kwao Uttar Pradesh may 27 kwa mujibu wa… Read More →