Hii Ndio Idadi Kamili Ya Waliofariki Dunia Mafuriko Dar Mpaka Sasa
Idadi ya waliokufa kutokana na mafuriko jijini Dar es Salaam imefikia watu 13 kufikia Jumatatu…,Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Sadiq Meck Sadiq amesema idadi hiyo huenda ikaongezeka baada ya kupata taarifa za matukio ya mafuriko kutoka maeneo yote ya mkoa wa Dar es Salaam.Kwa siku tatu mfululizo tangu… Read More →