Mungu Wangu!!! Mtu Mmoja Afariki Na wengine 38 Wajeruhiwa Ajali ya Gari Bagamoyo
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 kujeruhiwa kati yao 14 vibaya baada ya mgagari matatu waliyokuwa wakisafiria kugongana mawili uso kwa uso huku jingine likijaribu kukwepa ajali katika eneo la Bwawani barabara kuu ya Morogoro – Dar es SalaamWilaya Bagamoyo mkoani Pwani.. Baadhi ya mashuuda wakiwemo majeruhi walionusurika kifo… Read More →