Kunguni Zasumbua Wodi Ya Akina Mama Huko Igunga
WODI ya Akinamama katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga mkoani tabora inakabiliwa kuingiliwa na wadudu aina ya kunguni ambao wamekuwa kero kwa akinamama wanaokwenda kujifungua. Wakizungumza kuhusu kunguni hao baadhi ya akinamama katika hospitali hiyo wamesema wanatishia sio tu Afya zao bali hata za watoto wachanga wanaozaliwa na kulazwa katika… Read More →